Kesho Cinderella anaenda kuolewa na Prince Charming! Washonaji hodari wameshona gauini kwa sababu ya harusi hii.
Wewe ni fairy na kazi yako nikumvalisha Cinderella gauni lake.
Amsha ufashonista wako kwa kuchaguwa nguo na staili nzuri za nywele ili Cinderella akuwe mrembo!
Kuna vitu 200 kwa mchezo huu na zinapatikana bure: rinda, sketi,nguo za juu, staili za nywele, pazia za Bi harusi, viatu, maua, begi na vitu zaidi.
Kila kitu ni bure. Wasichana wanaweza kutengeneza mchanganiko milioni ya mavazi bila kuitisha seti zao!
Wasichana wanapenda kucheza mchezo wa mavazi lakini mchezo huu mpya ni nzuri! Cinderella ni msichana aliyependwa kwa wote na utamsaidia akuwe mrembo zaidi!
Utapata mchezo huu kwa mtandao ikiwa bure. Kama unapenda michezo ya mavazi ya wafalme, fairies na mabibi harusi, bonyeza "More by Games for Girls"
Ilisasishwa tarehe
9 Okt 2025